Upangaji
Kwenye mtaala huu,”wapelelezi:kuchunguza ufalme wa Mungu” utapata vifaa tofauti kufanya darasa lakolikuwe la kufanikiwa…
1. Kwa mwalimu
Masomo na mawazo makuu ya mwalimu nikumakinia pointi kuu.
2. Mchezo
Masomo inaonyesha yakuwa 90% ya wanafunzi kwenye madarasa duniani kotr wamechoka.tumia michezo hii kuweka wanafunzi wako wakiwa wamemakinika SIO wakiwa wame choka. Na mchezo,, unaweza kuwa na wanafunzi wako wakizunguka, huku ukiwasaidia kulenga pointi kuu.
3. Vielelezo
Hii ni niia ya raha kuanzisha somo ama kufurahisha darasa lako na kitu kutoka kwa nyumba yako kila wiki.
4. Maswali
Maswali hii zimepaeanwa kwa wale wanafunzi wazee kiasi,kuwasaidia kuhakikisha yakuwa wanaelewa maana ya hadithi.
5. Majibu
Kwenye hii kurasa kwenye kulia kwa kila somo kuna majibu ya vitendo kwenye vitabu za wanafunzi.
Kitabu cha mwanafunzi
Vitabu za mwanafunzi ni chombo cha mwalimu kuweka umakinifu wa wanafunzi na kufanya darasa ikue na raha zaidi.
Vitabu vinahusisha vitendo vifuatavyo:
- Ufahamu wa bibilia – tumeongeza ufahamu wa bibilia kwenye vitabu ili usome bibilia kwa urahisi darasani.
- Aya ya kukaririwa
- Shughuli za fumbo
- Ujumbe wa siri(kwa wanafunzi wazee kiasi)-fuata maagizo yaliyo kwa ajili ya kugundua ujumbe wa siri wa kila wiki,na uhakikishe yakuwa kila mwanafunzi akona funguo la avkodare.
- Kusoma mathayo(kwa wanafunzi waliozeeka kidogo)-hii ni programu zaidi ya kufunza wanafunzi wako kusoma bibilia zaidi.kitabu cha mathayo kime gawanyishwa kwenye sura 2-3 kila wiki, kwa hivyo wakisoma kazi ya ziada ya bibilia ya wiki, wanafunzi iatabidi wamesoma kitabu chote cha mathayo kwa wiki 13 ya mtaala huu.inategemea na wewe kama mwalimu kupeana lengo kwa programu ya kusoma kama unataka wanafunzi wako wapiti kwenye hii program.
Ujumbe wa siri
Kwa watoto wanaotumia vitabu ngumu na zilizoenea.
Kila wiki kuna ujumbe wa siri kwenye vitabu za mwanafunzi ambayo itatumika kwenye somo. Ona maelezo zaidi kwenye kurasa za Avkodare wa tovuti.
Kata na kuweka
Kwa watoto ambao hutumia vitabu vya kati na vitabu rahisi
Watoto wanapenda vibandiko!kwa ajili ya watoto wadogo, tumepaeana tendo kila wiki ya kukata kibandiko na kuweka gundi kwenye kurasa ya somo lao.wacha watoto waweke vibandiko ndani ya eneo lililo na mstari uliona madoa na kisha wapake rangi.
Pakua: Stika (pdf, 1.8 MB)