Notice: Undefined variable: languagesDirectories in /hermes/bosnacweb09/bosnacweb09ay/b2512/ipw.pro-vism/public_html/InternationalWebsite/swahili/detectives/theme-header.php on line 6

Warning: Invalid argument supplied for foreach() in /hermes/bosnacweb09/bosnacweb09ay/b2512/ipw.pro-vism/public_html/InternationalWebsite/swahili/detectives/theme-header.php on line 6
 

Avkodare

Kwa watoto wanaotumia vitabu ngumu na zilizoenea.Avkodare

Kila wiki kuna ujumbe wa siri kwenye vitabu za mwanafunzi ambayo itatumika kwenye somo. Nyuma ya vitabu vya mwanafunzi(za wanafunzi waliozeeka pekee) kuna FUNGUO LA KUSIMBUA). Na makasi, toa funguo la kusimbua kutoka nyuma ya kitabu na utumie kwa kila sehemu, kwa wiki zote 13. Tunakuagiza ufunike na karatasi ama uwache zi laminatiwe ili zidumu miezi tatu.usuzitume nyumbani na wanafunzi, lakini weka kanisani ili utakuwa nazo kila wiki.
Kupata ujumbe wa siri,weka pinde kutoka kwenye FUNGUO ambayo inaonyesha kwenye umbo ambayo unatafuta. (Ona mfano kwenye kulia mwako)pinde ambayo iko kwenye kitabu cha mwanafunzi utaelekeza kuelekea jibu.

Gundua neno

Kila somo lina herufi imefichwa kwenye kila kurasa.mara mtoto anapata herufi,wanahitajika kuisimbua na FUNGUO zao, na kisha waendee kwenye kurasa ya kwanza ya vitabu zao na waandike herufi kwenye sanduku linalolingana.kila wiki wanaongeza herufi ingine kwenye neno la siri, ili kavla ya wiki 13 ziishe(miezi 3)wamepata jibu.." kwenye nyoyo zenu!

Gundua nambari katika vitabu ngumu na vya hali ya juu.

Avkodare

Avkodare kwa vitabu zile ngumu na zile zilizoenea sana.
Inapatikana tu ukitoa kwenye mtandao (download)

Pee avkadare kwa watoto ambao wanatumia vitabu mgumu na zile zilizoenea kutoa ujumbe ule wa siri kwa kila somo.*avkodare bado iko kwenye kifuniko cha nyuma ya vitabu vya wanafunzi*

Download: Toa kwenye tovuti: karatasi ambayo iko na avkodare (283KB)