Watoto ni wa muhimu Kuhusu sisi Mawasiliano Shule ya jumapili Chuo cha bibilia cha likizo YanguWWC:
Ndugu na Dada,
Kwa wakati huu tunakupandisha ngazi hadi sajenti katika jeshi la Mungu! Kila mtu katika kanisa lako atataka
kushiriki katika nyenzo hii ya "Silaha ya Mungu". Wanaweza kuanza na nyenzo ya mkutano wa hadhara/siku
ya mchezo iliyoundwa na ndugu kutoka Guatemala ambao ni Silvia Delio, Mario Velasquez na timu yake yote
2
ya usaidizi.Na kisha furaha hiyo itaendelea kwa sababu hawataweza kuacha
kucheka kwa sababu ya michezo mipya ya kuigiza/michezo mifupi iliyobuniwa
na Suki Kangas. Inafurahisha sana kusikia Jenny Sanchez akicheka wakati
anahariri video ambazo Sagenti Mlingoti (Mike Kangas) na askari, Askari
Mcheko (Suki Kangas) na Askari Zamu (Flor Boldo) wanapoigiza kwa furaha.Na
kama michezo ya kuigiza ya Suki haikupi tabasamu, basi angalia muundo mpya
wa kifurushi chote. Napenda jalada la kitabu cha mwalimu, likiwa na michoro
yote ya kuchekesha, na Sajenti Mlingoti akijaribu kuwaza atafanya nini na askari
hao wote! (Labda inalingana na darasa lako?)